House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
(250,000X6) MBEZI KWA MSUGURI 2.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KWAMSUGURI #170k
===
Chumba MASTER
Sebule
Na jiko safi
UNASHEA METER YA UMEME NA MAJI WAWILI WAWILI PIA YANAFLOW NDANI
JUU FENI ZIME FUNGWA KOTE
Bei:170,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali km 2.5 Usafiri bajaji zipo 700
==
Nyumba ipo ndani ya fensi usalama wa kutosha
parking IPO yakutosha
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
===
CONTACT US:-
0716223412
0683597453