House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZR SN INAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAM TZ 🇹🇿 ENEO MBEZI MWISHO BARABABARA YA ZONI UMBALI WA KM 1.5 BAJAJI 1000 BODA 1500
AU UNAWEZA KUINGILIA BARABABARA YA MARAMBA MAWILI KITUO MSIKITINI BODA 1500
INA VYUMBA V2 VYA KULA VYOTE NI MASTA BEDROOM SEBULE NA
JIKO
TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENSI GETI
💰KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 170K
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15
#0625606710