House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA
UMBALI WA KILOMETA 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE
JIKO NZURI
UMEME LUKU YAKO
HAINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA
BEI NI 150,000/=×5,6
SERVICE CHARGE NI TZS 15,000/=
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37