House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 200,000 × 6
PAMOJA NA PESA YA TAHADHARI 100,000/=
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING SPACE KUBWA 🚘
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 1 (100,000/=) TUU NDUGU MTEJA
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UPO MUDA WOTE,,NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US: 0677445508