House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







UNAYE FANYA KAZI MBEZI MWISHO,LUGURUNI,KIBAMBA MLOGANZILA AU KIBAHA HII NYUMBA INA KUFAAA INA JITEGEMEA KILA KITU WW SALAMU GETINI
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #130k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko ndani
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Fence na parking
===
Kodi 130,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali KM 1.3 barabara ni Lami Bajaji zipo
===
#0785889413🔥🔥
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲