House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
🇹🇿 Apartments Nzuri za kisasa zinapangishwa, MBEZI MWISHO njia ya GOBA MAKABE
📍 Kodi ni Tsh 300,000/= ×6
_________
___
• Chumba Master Kikubwa
• Sebule Kubwa
• Jiko zuri
• Choo Kingine Cha wageni wako
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* MAJI yanatoka Ndani
* Fensi
* Parking
* Mazingira Mazuri na Tulivu
#Umbali wa 1Km kutoka Morogoro Road, usafiri upo wa Bajaji na Daladala
____________
*MUHIMU SANA:-*
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 300,000/=
#Gharama ya kupelekwa kuona ni Tsh 15,000/=
№:- 0753172516