House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA
APARTMENT HII IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000/= X 6
APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU UNAWEZA PIA UKAPITIA KIMARA TEMBONI ZOTE NI NJIA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168