House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI MWISHO KWA YUSUPH #200k
===
Chumba cha kulala
Choo ndani
Na Sebule
Sehemu ya Jiko
===
Inajitegemea umeme
Maji yanaflow chooni
====
Bei:200,000 Kwa mwezi ×6
===
Umbali KM 1.2 toka MBEZI stand
Usafiri Bajaji,daladala 500
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
Ndani ya fence parking kubwa
===
0679447338
0753454167