House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT Classic For Rent ✨️
Zipo 3 Kwenye Fence
Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA
Ipo Upande Wa Kulia Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 700 Ukishuka Dk 2 🚶🚶
KODI 250,000 × 6
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
✔️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✔️LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✔️YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️PARKING KUBWA SANA 🚘
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp