House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(250,000X4) MBEZIMWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENTS ZINAPANGISHWA ZIPO SITA KWENYE COMPOUND MOJA - MBEZI MWISHO KWA ROBERT
=====
Sebule kubwa
Chumba Master bedroom Kikubwa
Jiko Nzuri
Bei:150,000/=×4
===
Umbali dakika 15 Kwa miguu Kutoka Kituoni
===
Nyumba zipo ndani ya fensi na parking ya kutosha kabisa
Nyumba itakuwa wazi tarehe 31.12.2024 kuona na kulipia Ruksa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
CONTACT US:-
0716223412
0683597453