House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENTS ZINAPANGISHWA ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA - MBEZI KIBANDA CHA MKAA
=====
Sebule
Chumba Master bedroom
Jiko kubwa lenye makabati
Bei:200,000/=×6
===
Umbali dakika 15 Kwa miguu Kutoka Morogoro Road
===
Nyumba hizi hazina Fensi kabisa Ila usalama ni kutosha kabisa Asilimia 100%
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
-----------
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
====
‼️HII NYUMBA INAFAULISHA NDUGU ZANGU KWAHYO UJE UKIJUA HILO.
What saapp number 0689-547258