House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI KWA MSUGURI
BEI LAKI MOJA NA HAMSINI
KWA MWEZI 150X3
APARTMENT MPYAAA
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTA SEBULE KUBWA INA TILES JIPSAM DILISHA KIOO USALAMA WA KUTOSHA
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KILOMITA MOJA NA NUSU
USAFILI UPO MWINGI SANA
BODA 1000 MUDA WOTE
UMEME WAWILI ZILIKUA 4 IMEBAKI MOJA
BEI 150,000X3 TU AU 4 SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37