House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(130,000X5) MBEZI KWA MSUGURI 2KM BAJAJI 700
APARTMENT NZURI SANA MPYA INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI #130×5
===
Chumba cha kulala kikubwa chenye CHOO NDANI
Sebule kubwa
Na Choo ndani ( master)
NA JIKO LAKO
Umeme UNAJITEGEMEA METER YAKO
Maji yanaflow ( Bill)
NYUMBA INA FENSI UPANDE NA PARKING IPO
===
Bei:130,000 Kwa mwezi × 5
===
Umbali KM 2 Usafiri wa Bajaji upoooo kulia kama unaenda mbezi
BAJAJI 700, BODA 1000
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
PIGA SIMU
0716223412
0683597453