House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO MBEZI SHULE NJIA YA KUELEKEA GOBA NA KUTOKA LAMI YA GOBA HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347