House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
WAHI MAPEMA KABISA HII SI YA KUKOSA BEI MSELELEKO
KODI NI 250,000X5X6๐
INA PANGISH MBEZI NJIA YA MPGI MAGOHE KITUO KWAWA SEGA
SIFA ZA NYUMBA
INA VYUMBA V2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
CHOO CHA FAMILY CHA NDANI
JIKO KUBWA LA KISASA LA MAKABATI
SEBULE KUBWA SANA
FULL ICE VYUMBANI
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT MBILI TU
NA HII MOJA NDO IPO WAZI
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO
YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2๐
USAFILI BAJAJI 700 AU DALADALA 500
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 15000๐
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
PIGA CM CHAPU UPATE KITU POA KABISA
โฌ๏ธ
Simu/06 59 33 67 51
โฌ๏ธ
Wsp/07 86 08 56 37