House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Mbezi Beach Jogoo Chini
Bei: 300,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Zipo 3 Kwenye Compound
☑️Karibu Sana Na Lami
☑️Chumba Master Kubwa Na Jiko
☑️Fensi Ya Umeme & Parking
☑️Inajitegemea Umeme
☑️Paving Blocks
☑️Reserve Tank
☑️Maji Dawasa 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Call & WhatsApp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Ofisi Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#DalaliMasterTz #MasterMijengo