House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
💥HAKUNA SEBULE
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU FAMILIA MBILI
BEI NI 150,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO KWA YUSUFU UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747