House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







——
100,000 x 3... MBEZI KWA MSUGURI
Apartment nzuri sana
Inapangishwa MSUGURI
===
chumba Seble kubwa
Choo kipo kwenye kolido ndani
Bei:100,000 kwa mwezi x 3
===
Umeme unajitegemea
Maji bill
====
Umbali KM 2 Kutoka kituoni Usafiri bajaji zipo 700
Boda 1000
====
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Call me