House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#0652472014
#APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 250,000/=×6
APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETA 2.3
USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 TUU UPO KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA HII TSH 15000
What saapp number 0689-547258