House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA MPYAA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA ๐ฏ%
#CHUMBA MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#KUBWA SAANA NA JIKO LAKE
INAPANGISHWA
#KIMARA_TEMBONI
๐ฅ #KODI YAKE 120K X6//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ISHIRINI ELFU, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#JIKO SAFI/ OPEN KITCHEN
#TILES / GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
APARTMENT HIZI ZIPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
*โNYUMBA HII IPO KWENYE FENCE AMBAYO HAILAZI GARI,, NA PIA INAKUWA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 15/ 11/ 2024โ*
๐ก๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA.
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316WhatsAp
#0769680796โ