House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







MPYA MPYA MPYA KABISA
APARTMENT MBEZI LUGURUNI ZINAPANGISHWA
LOCATION: MBEZI LUGURUNI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 10-12 KUTEMBEA KWA MIGUU
USAFIRI BODA ELFU MOJA
KODI NI 200K X3
CHUMBA MASTA KUBWA, SEBULE KUBWA,
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASCO YANATOKA NDAN.
NDANI Y FENC
ZIPO APARTMENT 4 NDANI Y COMPOUND 1
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K
CONT 👇
0713661530_0783661530



















