House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F9dfdfff2-ab21-49e0-ac37-5c5da3cd4dc7.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F9dfdfff2-ab21-49e0-ac37-5c5da3cd4dc7.jpg&w=256&q=75)
![media -2 media -2](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fbcc1b4d3-e6df-444e-99c0-c164854c57d6.jpg&w=256&q=75)
![media -3 media -3](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F823b875f-22ac-49b2-98c6-cae3ae8cc955.jpg&w=256&q=75)
![media -4 media -4](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fa8590869-d069-476c-b6e2-9394da457ee8.jpg&w=256&q=75)
![media -5 media -5](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F9489f842-a134-42ba-ad57-defeb430f829.jpg&w=256&q=75)
![media -6 media -6](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F46844e79-e01b-4661-843c-881e58d7bbf8.jpg&w=256&q=75)
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#HEATER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO MBEZI NJIA YA KUELEKEA MAKABE KUPITIA MADUKANI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.