House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT 3 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI UMBALI WA DK 15 KWA MIGUU...NJIA YA ZEGE BARABARA
SOMA KWA MAKINI HAPA...
KWA WALE WAVIVU WA KUTEMBEAAAAA NJIA MKEKA BARABRA YA ZEGE...
Seble Kubwa
Chumba Master
Jiko kubwa
Public toilet Nje
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Mlinzi kampuni
Ndani ya fence zipo 3 ila no parking (hakuna parking)
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=ร6(miezi fika site punguzo)
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
NYUMBA MPYA AZIJAKALWA ZIPO TATU NA ZIMEBAKI MBILI
#0785889413
#0785889413๐๐๐๐ก๐ _๐ด๐๐๐ฒ๐ฒ