House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA KIBACHELA INAPANGISHWA
UTAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 14/04/2025 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BODABODA AU BAJAJI NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
☎️ #0757208653