House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
MBEZI LUGURUNI NYUMBA MPYA KALI BADO MBILI KODI 200,000 MIEZI 3 TUU
APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 3
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA PEMBÈNI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 200,000/= X 3
APARTMENT HII IPO MBEZI LUGURUNI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA KIBAHA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MOJA
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa