House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO KWA HAKIMU
UMBALI WA DAKIKA 5
PIGA SIMU 0755831740
USAFILI UPO MWINGI SANA BAJAJI MIA 500 BODA BUKU
BEI LAKI MOJA NA HAMSINI KWA MWEZI ILIPWE MIEZI 5
SIFA YA NYUMBA CHUMBA MASTA NA JIKO
INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME
MAJI YANATOKA CHOONI
BEI 150,000X 5,6
KILA MPANGAJI ANAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KARIBUNI SANA