House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
(150,000X6)MBEZI KWA MSUGURI 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 150,000\/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#KIBALAZA KIKUBWA
#HAKUNA JIKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
BEI NI 150,000\/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453