House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







*APARTMENTS 6 zinauzwa Milioni 33 maongezi yapo📍Zipo MBEZI MWISHO MAKABE MSAKUZI* Dar es salaam - Tanzania
◇Apartment mbili ni Sebule na Chumba master kodi ni laki 200,000
◇Apartment 4 ni chumba chumba kila Mpangaji analipa kodi Elf 50 kwa kila chumba
◇Makusanyo ya kodi kwa mwezi kwa wapangaji wote ni laki (400,000) Kwa mwaka mzima ni milioni (4800,000)
◇Apartments zote 6 zimejaa wapangaji
◇Plot size Sqmt 200
◇Document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua)
*Bei shilingi milioni 33 maongezi yapo*