House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







*APARTMENTS 4 zinauzwa Milioni 49 maongezi yapo📍Zipo MBEZI MWISHO MAKABE CENTAR* Dar es salaam - Tanzania
◇Apartment mbili ni Sebule na Chumba master
◇Apartment 2 ni chumba chumba kila Mpangaji analipa kodi Elf 50 kwa kila chumba
◇Makusanyo ya kodi kwa mwezi kwa wapangaji wote ni laki (200,000) Kwa mwaka mzima ni milioni (2400,000)
◇Apartments zote 4 zimejaa wapangaji
◇Plot size Sqmt 600
◇Document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua)
*Bei shilingi milioni 49 maongezi yapo*