House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
โโ
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000/= X 6
๐ซ๐ซAPARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU UNAWEZA PIA UKAPITIA KIMARA TEMBONI ZOTE NI NJIA
APARTMENT HII IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI
0679447338
0753454167