House/Apartment for Rent at Miganga, Singida


APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWA🌱
_________________
📍MAHALI- MIGANGA (STAND ALONE)
_________________
🚪 MUUNDO
-Vyumba  V4 vya kulalaa (VYOTE MASTER)
-Sebule
-Jiko & Dining
-Store 
-Public toilet
__________________
HUDUMA 
-ELECTRIC FENCE
-HEATER BAFUNI
-Maji yapo 
-Umeme upo unajitegemea
-Parking space kubwa
-Iko ndani ya fence 
-usalama wa kutosha
__________________________
💰MALIPO
~Bei  ni 600,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA😎
☎️ MAWASILIANO
+255657122976  call/ wtsp
🏃♂️Gharama za kwenda site ni 10,000#



















