House/Apartment for Rent at Mjini, Ruvuma







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 5
MPYA MPYA MPYA !!!!!!!!
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#PIA KUNA PUPLICK TOILET YA NJE
#LUKU MITA UNAJITEGEMEA NA MAJI METER YAKO NA MAJI YANAFROO NDANI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI NA
PARKING IPO
💥NYUMBA NI MPYA KABISA LEO MAFUNDI WANAFUNGA BOMBA CHOONI TU NDUGU MTEJA
BEI NI 150,000/= X 5
💫💫 APARTMENT HII IPO KWAMSUGURI KULIA KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 NA NJIA NI RAFIKI KWA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0710614924
#0688653940