House/Apartment for Rent at Mjini, Ruvuma







PUNGUZO LA BEI SASA LIMEKUBALIWA
APARTMENT NZURI ZAKISASA INAPANGISHWA BEI NI A)150,000/= X 4
B)100,000/=×6
MPYA MPYA MPYA !!!!!!!!
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO( A)
#CHUMBA MASTER KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#LUKU MATUMIZI YAKO NA MITA YA MAJI DAWASA BILL
#PARKING IPO
KODI 150 ×4
KWA JUUU
💥(B)CHUMBA MASTER KUBWA NA JIKO , KWA CHINI
KODI 100,000×6
NB: MADIRISHA YANAWEKWA NYAVU
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO KWAMSUGURI KULIA KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 NA NJIA NI RAFIKI ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US,:-
0716223412
0618976024



















