House/Apartment for Rent at Mjini, Ruvuma


#Repost dalali_mshana_ubungo_kimara
ββ
#APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
#BEI NI 350,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
#BEI NI 350,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO #UBUNGO_EXTERNAL_MAKUBURI DKK 0 TUU
#USAFIRI NI DALADALA 700 ZA MJINI NA UKISHUKA TUU UNAPIGA TEKE MLANGO
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0712500602 Whtsp
0755336565