House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO. MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI (DAWASA) TENKI LIPO.
KODI: 170000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 3.
MALIPO YA DALALI 170000, SERVICE CHARGE 10000 KAMA NYUMBA HAILIPIWI HAPO HAPO.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.. NYUMBA IPO KARIBU NA BARABARA.
CONTACT: 0760053111
0614130017