House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO LENYE KABATI. MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI (DAWASA) TENKI LIPO.
KODI: 180000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 3.
MALIPO YA DALALI 180000, SERVICE CHARGE 10000 KAMA NYUMBA HAILIPIWI HAPO HAPO.
LOCATION: PUGU SEKONDARI.
CONTACT: 0760053111
0614130017