House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA (APARTMENT MBILI NDANI YA FENSI)
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA SEHEMU YA KUPIKIA.
UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI NI WAWILI TUU.. TENKI LIPO MAJI YANATOKA MASAA 24. NYUMBA IPO NDANI YA FENSI FULL.
LOCATION: PUGU KWA MUSTAFA.
KODI: 140000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
SERVICE CHARGE 20000
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111