House/Apartment for Rent at Ruvu, Pwani







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 230,000 × 6
#VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING ROOM
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA YANATOKA NDANI KAMA RUVU VILE
#ZIPO APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI SANA HASA HII NDIO IMEJITENGA YENYEWE PEMBENI KABISA
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA KM 3 TUU BAJAJI 1000 BODABODA 1500
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp