House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam
Apartment Nzuri Inapangishwa
Mahali: Sinza Madukani
Bei: 200,000 Kwa Mwezi Malipo: Miezi 6
Baada Ya Hapo Utalipia 150,000 Miezi 3 Na Kuenndelea.
Master Na Sebule
Fensi & Parking
Reserve Tank
Dawasa Maji 24/7
‼️Itakuwa Wazi Kuanzia Trh 20. Kuona Na Kulipia Ruksa
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalali
What saapp number 0689-547258