House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


🏡 Modern Apartment for Rent – Sinza
✨ Brand New | Master Bedroom | Sitting Room | Kitchen
💰 Kodi: 500,000 TZS kwa mwezi (malipo miezi 6+)
🏠 Nyumba mpya kabisa yenye finishing ya kisasa
🌬 Imefungwa fan kwenye vyumba
💧 Maji yapo muda wote
⚡ Umeme wa kujitegemea
🚗 Parking ipo ndani ya fence
🌿 Mazingira safi na tulivu
📍 Location: Sinza
📞 Wasiliana na Mshua kwa viewing 📲 0678512666
🔥 “Apartment ya kisasa, safi, na ya kuvutia – kaa sehemu yenye hadhi yako!”