House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


APARTMENTS 25 ZOTE ZINA WAPANGAJI NDANI ZINAUZWA KWA PAMOJA SINZA MLIMAN CITY MILLION 600 MAONGEZI KIDOGO YAPO
MAKUSANYO YA KODI KWA MWEZI NI MILLION NANE KWA MWAKA MILLION 96
KUNA MASTER SEBULE ZA LAKI NNE NNE
KUNA MASTER SEBULE ZA LAKI TATU TATU
KUNA MASTER TUPU ZA LAKI MBILI NA 20 AMBAZO ZOTE UKIZIKARABATI VIZURI UNAWEZA KUPANDISHA KODI
UKUBWA WA ENEO NI SQMT 700
HUKU ENEO LA SQMT 288 TU BEI YAKE INAWEZA FIKA HADI MILLION 300 SASA HIZI NI SQMT 700 ZENYE NYUMBA ZA BIASHARA NA UNAZINUNUA ZIKIWA NA WAPANGAJI WAKE NDANI WEWE UNAANZA NAO MKATABA MPYA TU
TITLE DEED MKONONI✅
UNAEJIJUA MUWEKEZAJI PITWA NA YOTE USIKUBALI KUPITWA NA FURSA HII ZINATOKEAGA MARA MOJA MOJA SANA
NJOO KAGUA NYUMBA KAGUA DOCUMENTS TUFANYE BIASHARA
SERVICE CHARGE 50K💰
#0786801000