House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam
Apartment iyo ni chumba masta na jiko
@
Inapangishwa sh laki mbili na nusu
@
Kodi ya miez 6 na dalali 7 ipo sinza
@
Umeme inajitegema maji shea
@
Mpya
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Mpaka unapata nyumba
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550/
0693184744
@
Namba ya wasp 0659848687