House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


🏢🔥 APARTMENTS ZINAUZWA – TABATA BARACUDA 🔥🏢
Fursa adimu ya uwekezaji wa uhakika! 💰
📍 Dakika 2 tu kutoka kituo cha Mwamgongo
🌟 Location nzuri na yenye uhitaji mkubwa wa wapangaji
🔹 Maelezo ya Apartments:
🏠 Jumla ya Units: 14
🛏️ Kila moja: Master + Sebule + Jiko
💵 Kodi ya sasa: 300,000/= kwa mwezi kila unit
📈 Uwezo wa kuongeza hadi 400,000/= kwa kuboresha (AC n.k.)
➡️ Mapato ya sasa: 4,200,000/= kwa mwezi
➡️ Mapato yanayowezekana: 5,600,000/= kwa mwezi
📐 Eneo: Sqm 400
📜 Hati ipo
💰 Bei: Milioni 600 (maongezi kidogo yapo kwa mteja serious)
Huu ni uwekezaji wa muda mrefu na wa uhakika kwa wateja wanaojua biashara.
🔥 Karibu tufanye biashara!
📞 +255 688 412 890
#Tabata #ApartmentsInauzwa #UwekezajiWaUhakika #DalaliWakoWakishua #MilikiKeshoYakoLeo


















