House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA
TABATA KINYEREZI KIBAGA.
APARTMENTS ZIPO 6#
BEI SH 200,000×3
MALIPO YA DALALI NI MWEZI 1
SERVICE CHARGE SH 20,000/.
NYUMBA ZA KISASA#
LOCATION: TABATA KINYEREZI KIBAGA.
APARTMENTS ZIPO 6#
MIEZI 3 ANAPOKEA
CHUMBA MASTER SEBLE NA JIKO.
SEBLE KUBWA SAFI
JIKO NDANI LA MAKABATI
PUBLIC TOILET
UMEME NA MAJI
UNAJITEGEMEA
DAWASCO WATER 24/7
RESERVE WATER TANK.
MAJI YANAFLOO NDANI
MAFENI JUU
PARKING KUBWA
PAVING BLOCKS
USALAMA💯
MAZINGIRA TULIVU💯
MAWASILIANO: WHATSAPP No,
0766:650248
CALLS:
0654:154140
0624:808238.