House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







Apartment hizi ni mpya zinapangishwa zipo 4 tu ndani ya fence kila moja @ shilingi 450000 kodi kuanzia miezi 6, umeme na maji unajitegemea, parking, peving, usalama wa kutosha, Location tabata mongola ndege dar es salaam
0614130017
Kupelekwa kuonyeshwa nyumba sh 20000



















