House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
#OFA #OFA #OFA NIMEZISHUSHA KODI KIDGO KUTOKA 270K HADI 250X6
.
HIZI PICHA NI ZA WK TATU ZILIZOPITA KW SA IVI NYUMBA ZIPO TIARI KW KUINGIA HATA LEO LEO
.
NI APARTMENT NZURI MPYAAA KABISA ZINAPANGISHWA
.
ZIPO TABATA KINYEREZI
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
HIZI APARTMENT NI ZA TAR 15/01/2024 ILA KUJA KUIONA NA KULIPIA KABISA NI RUKSA
.
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA LA KUJIACHIA
PUBLIC TOILET ZA NJE
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
PERVING BLOCK ZINAWEKWA
FULL KAMERA
ULINZI NI ASILIMIA MIA MOJA
BRBR NI MKEKA
WALE WA MAGARI YA CHN MSIHOFU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA simu 0659336751 wsp 0786085637