House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA KUBWA SANA INAPANGISHWA KODI 500,000X8
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA SANAA
#SEBULE KUBWA SANAAA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#LIBRARY YA KUSOMEA WATOTO
#PABLICK TOILET NDANI ZIPO 2
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫
NB: NYUMBA IPO KWENYE UKARABATI WA RANGI NK:
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347