House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA MPYA MPYA NZURI ZA KUPANGA ZINAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 1 - 04 - 2025 KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA
:Location ๐ Ubungo extenal Migombani
:Unaweza ukapitia kimara korogwe usafiri bajaji 500
:Unaweza ukapitia extenal Usafiri bajaji 700 barabara nzuri kabisa
Group A ๐
:Chumba master kubwa na Jiko lake Tsh 150,000/= malipo ya miezi 6 Bila huruma
Group B ๐ฒ
:Sebule kubwa sana
:Jiko kubwa
:Chumba kikubwa na choo kizuri cha Ndani 250,000/=6
๐กApartment zipo 5 ndani fensi parking ipo na Kila apartment umeme Luku na maji inajitegemea Bila kusahau Maji dawasa yanatoka Ndani chooni na jikoni
Contact ๐