House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


🔰 Apartment Kali sana Inapangishwa, UBUNGO KIBO
📍 Kodi 450,000/= *3 (Kodi hata Miezi Mitatu inapokelewa, baada ya hapo hata mwezi mmojammoja)
_________
___
• Jiko Kubwa La Kisasa (open kitcheni)
• Sebule Zuri
• Chumba Master
• Choo cha wageni nje
* A/c
* Parking Kubwa
* Mazingira Mazuri sanaaa
* MAJI yanatoka ndani
#Note:- kunahela ya tahadhari 450,000/= Unavyohama unarudishiwa (kama unakodi ya miez 2 na hela ya tahadhari njoo nikuombee)
_________
📌 *MUHIMU*
#Malipo ya Dalali Tsh 450,000/=
#Service Charge Tsh 15,000/=
№:- 0753172516