House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Unapiga teke Nyumba
Kodi 250000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Chumba na Sebule
Jiko
Choo ndani Master
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space Gari mpaka mlangoni
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
0712500602
0755336565